Msanii mkubwa wa kitaifa na kimataifa,Nasib Abdul alimaarufu kama Diamond Platnum ametua Uwanja wa Mkapa siku ya Simba Day na Helikopta na kuwateka mashabiki wote wa Simba kwa kutumbuiza. Ni …
Tag:
simbaday
-
-
Siku ya Simba Day wanamsimbazi watasherekea wakiwa uwanja wa Mkapa wakitazama mchezo mkali kati ya Simba Sc na Vital’O ya Burundi siku ya Agosti 22,2020. Simba Sc imethibitisha kucheza na …