Mabingwa watetezi wa soka nchini Simba sc wanajiandaa kuisimamisha nchi katika siku hizi nne zilizobaki kuelekea kufungwa kwa dirisha dogo la usajili linalotarajia kufungwa Januari 15 siku ya Jumamosi majira …
simbasc
-
-
Miamba mitatu ya soka nchini Tanzania vilabu vya Simba,Yanga na Azam vimefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea huko visiwani Zanzibar. Azam walio kundi A …
-
Klabu za Simba na Yanga zimezanza vizuri mechi zao za kwanza za kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa 2-0 kila moja na kuweka mzaingira mzauri ya kufuzu hatua …
-
Klabu ya soka ya Simba imemtangaza mtangazaji wa michezo wa Azam media Ahmed Ally kuwa Afisa habari na mawasiliano mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Ezekiel Kamwaga aliyekuwa akikaimu …
-
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc imeendelea rekodi nzuri ya ushindi dhidi ya waoka mikate Azam fc pindi timu hizo zinapokutana. Katika mchezo uliofanyika Jumamosi hii …
-
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc IbrahimAjibu Migomba amejiunga na matajiri wa Jiji la Dar es salaam Azam Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja kuwatumikia waoka mikate hao wa Chamazi. Taarifa …
-
Kocha msaidizi wa mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc Thiery Hitimana ameachana na klabu hiyo baada ya kusitishwa kwa mkataba wake na waajiri wake hao. …
-
Simba Sc imeanza safari yake leo Oktoba 19,kuelekea Mbeya kwa ajili ya mchezo wa raundi ya sita wa ligi kuu bara dhidi ya Tanzania Prisons. Wanamsimbazi hao watakaa kwa muda …
-
Straika wa Simba Sc ,Meddie Kagere yuko hatarini kuikosa mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga Sc kutokana na majeraha yanayomsumbua yatakayomfanya kukaa nje ya uwanja kwa takribani wiki …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …