Kocha mkuu wa Simba Sc,Sven Vandenbroeck amewachomoa nyota wake watatu ambao ni Luis Miqussone,Pascal Wawa na Chris Mugalo kwa kuwa hawakuwepo kwenye mazoezi ya awali na wachezaji wenzao kambini wiki …
simbasc
-
-
Mchezaji namba 28 aliyetambulishwa na Yanga Sc siku ya wananchi Agosti,31 Benard Morrison sio tena mchezaji wa klabu ya Yanga baada ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) kumtambulisha rasmi kama …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc,Sven Vandenbroeck amekanusha taarifa zilizoenea mtandaoni kuhusu nyota wake namba moja Meddie Kagere kuwa walipigana. Sven amesema kuwa taarifa hizo si za kweli na hawezi kutumia …
-
Simba Sc leo imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya AFC leo kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Bao la kwanza na la …
-
Rais wa awamu ya nne wa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Yanga kuachana na mvutano wa suala la mchezaji, Bernard Morrison kwani suala la …
-
Yanga Sc imemtangaza Benard Morisson kuwa ni miongoni mwa wachezaji wake wakati wakiwatambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2019/2020 katika siku yao ya kilele cha …
-
Simba Sc imefanikiwa kutwaa taji la ngao ya jamii leo kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Wanamsimbazi hao wametwaa taji hilo baada ya kuibuka na ushindi …
-
Ramadhani Kayoko ni miongoni mwa refa atakayechezesha mchezo wa leo wa ngao ya jamii baina ya Simba sc na Namungo Fc uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha saa 9:00 …
-
Wakati Yanga Sc ikiadhimisha siku yao leo Dar-es-salaam uwanja wa Mkapa ,Simba Sc nayo itakuwa jijini Arusha kumenyana na Namungo Fc uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezo huo wa ngao …
-
Polisi Tanzania inazidi kukisuka upya kikosi chake tayari kwa msimu ujao wa ligi kuu bara ambapo hivi leo wameidaka saini ya mchezaji wa Simba Sc ,Rashidi Juma kwa kandarasi ya …