Azam Fc iliyochini ya kocha mkuu Arstica Cioaba ambaye pia ni raia wa Romania inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC leo majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja …
simbasc
-
-
Simba Sc itacheza na mechi mbili za kirafiki ambazo ni KMC na Transit Camp siku ya leo Agosti 26 katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa …
-
Gerson Fraga Vieira wa Simba Sc ambaye pia ni raia wa Brazil ameufurahia usajili wa kiungo kutoka Lusaka Dynamosi iliyoko Zambia,Larry Bwalya kutokea kwani ni miongoni mwa usajili bora ambao …
-
Msanii mkubwa wa kitaifa na kimataifa,Nasib Abdul alimaarufu kama Diamond Platnum ametua Uwanja wa Mkapa siku ya Simba Day na Helikopta na kuwateka mashabiki wote wa Simba kwa kutumbuiza. Ni …
-
Uongozi wa Simba Sc umesema kuwa Luis Miqussone’Konde Boy’Â bado hajarejea bongo kwa ajili ya maandalizi ya ligi kwa sababu aliomba ruhusa aende akaoe. Luis amekuwa bora msimu wa kwanza …
-
Siku ya Simba Day wanamsimbazi watasherekea wakiwa uwanja wa Mkapa wakitazama mchezo mkali kati ya Simba Sc na Vital’O ya Burundi siku ya Agosti 22,2020. Simba Sc imethibitisha kucheza na …
-
Ratiba mpya ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara umewapa miezi miwili wachezaji wapya waliosajiliwa Simba Sc na Yanga Sc kabla ya kukutana katika mechi ya watani ,uwanja wa …
-
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc,Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ameamua kuziweka hisia zake wazi kuhusu beki mkongwe wa klabu hiyo Pascal Wawa kutokana na ubora wa kiwango chake ndani …
-
David Kameta ‘Duchu’ ametambulishwa rasmi leo Agosti 15 ndani ya kikosi cha Simba akiwa amesaini dili la miaka miwili akitokea klabu ya Lipuli Fc. Duchu akiwa Lipuli ambayo itashiriki ligi …
-
Namungo Fc imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Yanga Sc, Jaffar Mohammed kwa mkataba wa mwaka mmoja. Usajili wa beki huyo unaenda kuongeza nguvu eneo la ulinzi kwa lengo la …