Msimu mpya wa ligi kuu utafunguliwa Agosti 29 wakati Simba Sc ambao ni mabingwa wa ligi kuu wakiwakaribisha Namungo Fc kwenye mchezo wa ngao wa jamii utaochezwa mkoani Arusha,uwanja wa …
simbasc
-
-
Mshambuliaji wa Simba ,Clatous Chama leo Agosti 3 amekabidhiwa zawadi ya Shilingi milioni moja na tuzo ya mchezaji bora ndani ya ligi kuu bara na wadhamini wakuu wa klabu ya …
-
Timu ya Simba sc leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya timu ya manispaa ya Kinondoni(Kmc) katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Mo Simba Arena bunju …
-
Tetesi zinaeleza kuwa kiungo wa zamani wa klabu ya Simba,James Kotei amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga akiwa kama chaguo la kocha mkuu wa Yanga,Eymael ili …
-
Klabu ya soka ya Simba sc imeifunga timu ya Singida United mabao 8-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba …
-
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa ni mmoja wa vigogo kadhaa wa soka watakaokuwa wazungumzaji katika Kongamano la Mpira wa Miguu la Dunia (WFS) linalotarajiwa kufanyika Durban, Afrika …
-
Ofisa Mtendaji wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa, amesema Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems alimtumia ujumbe ukimwarifu kuwa amepatwa na dharura. Taarifa imesema kuwa Aussems alimtumia Mazingisa ujumbe huo lakini hakuanisha …
-
-Ni kiungo mapafu ya mbwa James Kotei -Aaga mashabiki kwa huzuni,akumbuka kuitwa wa “matopeni”
-
Beki kiraka wa Simba sc Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka miwili ijayo baada ya mkataba wa awali kufikia tamati mwishoni mwa mwezi …
-
Beki wa Simba sc Shomari Kapombe ana hatihati ya kutokwenda katika michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon) baada ya kutopona majeraha yake kwa asilimia 100.Kapombe aliyeumia katika kambi ya siku kumi …