Kikosi cha Simba kimerejea Dar Es Salaam leo Mei 26 kutoka Visiwani Zanzibar baada ya kupoteza taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada kufungwa kwa matokeo ya jumla ya …
Singida Black Stars
-
-
Klabu ya Coastal Union hatimaye baada ya michezo mingi ya ligi kuu ya Nbc nchini leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc …
-
Klabu ya Azam Fc imeanza safari mapema ya leo kuifuata Singida Black Stars katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini utakaofanyika kesho jumapili katika uwanja wa Ccm Liti mjini …
-
Mshambuliaji Jonathan Sowah amezidi kuineemesha klabu yake ya Singida Black Stars baada ya jana kufunga bao katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Fountain Gate Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja …
-
Mvua iliyonyesha wakati wa mchezo wa Uzinduzi wa uwanja wa Airtel stadium mkoani Singida imesababisha kuvunjika kwa mchezo baina ya timu za Yanga sc dhidi ya Singida Black Stars. Mchezo …
-
Klabu ya Yanga sc imezidi kujichimbia katika kilele cha msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga klabu ya Singida Black Stars kwa mabao 2-1 katika mchezo wa …
-
Ni kivumbi leo katika uwanja wa Kmc Complex Jijini Dar es Salaam ambapo miamba miwili ya ligi kuu Yanga sc itavaana na Singida Black Stars jioni ya leo katika mchezo …
-
Klabu ya Singida Black Stars leo imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Kmc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex uliopo Mwenge …
-
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kuwa sasa itakuwa chini ya kocha David Ouma kama Kocha mkuu na Muhibu Kanu kama kocha msaidizi wa klabu hiyo wakichukua nafasi ya Miloud …
-
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kushtushwa na taarifa ya kocha wake Hamdi Miloud kujiunga na klabu ya Yanga sc kutokana na kuwa na mkataba naye. Jana usiku klabu ya …