Simba Sc
Singida Black Stars
-
-
Klabu ya Simba Sc sasa imehamia kwa Jonathan Sowah ikitaka kumsajili baada ya kupata ofa kadhaa za kumuuza Lionel Ateba anayehitajika nchi za kaskazini mwa bara la Afrika. Awali Sowah …
-
Adebayor Aondoka Singida Black Stars
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho la Crdb nchini baada ya kuifunga timu ya Singida Black Stars kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Visiwani Zanzibar …
-
Klabu ya Simba Sc imekubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Singida Black Stars katika mchezo wa hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Crdb nchini. …
-
Kikosi cha Simba kimerejea Dar Es Salaam leo Mei 26 kutoka Visiwani Zanzibar baada ya kupoteza taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada kufungwa kwa matokeo ya jumla ya …
-
Klabu ya Coastal Union hatimaye baada ya michezo mingi ya ligi kuu ya Nbc nchini leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc …
-
Klabu ya Azam Fc imeanza safari mapema ya leo kuifuata Singida Black Stars katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini utakaofanyika kesho jumapili katika uwanja wa Ccm Liti mjini …
-
Mshambuliaji Jonathan Sowah amezidi kuineemesha klabu yake ya Singida Black Stars baada ya jana kufunga bao katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Fountain Gate Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja …
-
Mvua iliyonyesha wakati wa mchezo wa Uzinduzi wa uwanja wa Airtel stadium mkoani Singida imesababisha kuvunjika kwa mchezo baina ya timu za Yanga sc dhidi ya Singida Black Stars. Mchezo …