Klabu ya Singida Fountain Gates imekamikisha Usajili wa Mlinzi wa kushoto raia wa Botswana Benson Kitso Mangolo kuja kuongeza nguvu katika eneo hilo ambalo mpaka sasa anacheza Gadiel Michael na …
Singida Fg
-
-
Klabu ya soka ya Singida Fountain Gate Fc imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake Pascal Serge Wawa ambaye ilimtema mwanzoni mwa msimu huu bila kufuata utaratibu na kusababisha mchezaji …
-
Klabu ya soka ya Singida Fountain Gate Fc imefungiwa kusajili na shirikisho la soka Duniani (Fifa) mpaka itakapomlipa aliyekua mshambuliaji wa timu hiyo Nicholas Gyan baada ya kuvunja nae mkataba …
-
Mshambuliaji wa Singida BS, Habibu Kyombo ametozwa faini ya Tsh milioni moja kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina katika mchezo kati ya Singida Fontaine Gate FC dhidi …
-
Kipa namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Singida Fountain Gate Fc Beno David Kakolanya ana hatuhati ya kuukosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga …
-
Staa wa klabu ya Singida Fountain Gate FrancyKazadi amekalia kuti kavu klabuni humo kutokana na kiwango chake kushindwa kuwashawishi mabosi wa klabu hiyo tangu msimu huu uanze ambapo amekosa namba …