Uongozi wa klabu ya Ihefu FC ambao siku za karibuni umeyahamisha makazi ya klabu hiyo kutoka Mbarali Mbeya na kwenda mkoani Singida, na hivyo kufanya mabadiliko ya jina la timu …
Singida Fountain Gate Fc
-
-
Kocha Jamhuri Kihwelu ametambulishwa kama kocha mkuu wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc akichukua nafasi ya kocha Thabo Senong ambaye alitimuliwa kufuatia matokeo mabaya ya timu hiyo katika siku …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu muhimu katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate uliofanyika katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam baada ya kuifunga tiimu …
-
Klabu ya Singida Fountain Gate Fc imetimua benchi la ufundi lililokua chini ya kocha Thabo Senong kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya klabuni hapo ambapo mpaka sasa kikosi hicho kipo …
-
Kiungo mshambuliaji Bruno Gomez ameamua kuvunja mkataba na klabu yake ya Singida Fountain Gate Fc kutokana na klabu hiyo kushindwa kutimiza baadhi ya vipengele vya kimkataba baina yao hivyo kumlazimu …
-
Mchezaji na nahodha wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc Gadiel Michael amejiunga na timu ya Cape Town Spurs Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya timu hizo kufika …
-
Klabu ya Singida Big Star imeamua kuwauza baadhi ya nyota wa klabu hiyo ili kukusanya kiasi cha fedha kwa ajili ya kulipa madeni yanayoikabili klabu hiyo kiasi cha kufungiwa na …
-
Klabu ya Azam Fc imetolewa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Singida Fountain Gate katika mchezo wa michuano hiyo uliofanyika …
-
Winga wa klabu ya Fc Lupopo Manu Labota Bola ameamua kujiunga na Singida Fountain Gate Fc na kuikacha ofa ya Yanga sc na tayari dili hilo limeshakamilika ukisubiriwa utambulisho tu …
-
Klabu ya Singida Fountain Gate itautumia uwanja wa Black Rhino Academy uliopo karate,Arusha kwa ajili ya michezo yake ya nyumbani baada ya kufungiwa kwa uwanja wake wa nyumbani wa Liti …