Klabu ya soka ya DTB iliyopanda kucheza ligi kuu nchini imebadili jina na sasa itajulikana kama Singida Big Stars huku ikihamisha makao makuu yake kutoka jijinin Dar es salaam kwenda …
singida united
-
-
Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefurahishwa na kiwango cha mchezaji wake mpya Saido Ntibazonkiza alichokionyesha katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United. Kaze aliyemsajili mchezaji huyo ukiwa na …
-
David Mapigano Kissu ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Azam Fc baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili akitokea klabu ya Gor Mahia ya Kenya. Kissu alichezea timu za Njombe Mji …
-
Kipa namba moja Singida United ambaye pia aliwahi kukipiga ndani ya Mbeya City ,Owen Chaima amesema kuwa hataweza kuwa na timu hiyo ligi daraja la kwanza kwa kuwa anaamini katika …
-
Utata umezuka jangwani kuhusu wachezaji waliotolewa kwa mkopo na klabu hiyo wakati wa dirisha dogo kufuatia baadhi ya wachezaji kuigomea klabu hiyo kufuatia kutoshirikishwa katika kuchagua timu za kuhamia. Wakati …
-
Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesepa na pointi tatu muhimu kwa mara ya kwanza kwa ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Singida United katika uwanja wa Namfua. Molinga alipachika …
-
Nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul ameahidi kuwa watapambana vya kutosha katika mechi zilizobaki na kurekebisha makosa yaliyowafanya wakapoteza michezo miwili ya nyuma. Yanga ambayo ilipoteza mchezo mbele ya Kagera …
-
Licha ya kuwa na mastaa wa levo za juu kumzidi bado timu ya Simba sc imeendelea kufaidika na usajili wa Miraji Athuman baada ya jana kuisaidia timu hiyo kupata pointi …
-
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea tena jioni ya leo kwa michezo mbalimbali ambayo itafanyika katika viwanja tofautitofauti nchini. Singida United watawakaribisha Alliance mchezo utakaofanyika katika uwanja wa Namfua …
-
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania Habib Kyombo amekamilisha rasmi uhamisho wa kujiunga wa timu ya Mamelod Sundowns inayoshiriki ligi kuu ya Afrika kusini kwa mkataba wa …