Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba Sc Roberto Oliveira (Robertinho) ambaye hivi majuzi alisimamishwa kazi na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha …
soka
-
-
Klabu ya Azam Fc imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Timu ya Manispaa ya Kinondoni (Kmc) uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi …
-
Wachezaji wa klabu ya Simba Sc, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Tsh 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mlango wa Coastal Union, Ley …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuingia hatua ya 16 bora ya kombe la shirikisho nchini baada ya kuifunga timu ya Tra Moshi kwa mabao 6-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja …
-
Klabu ya Al Ahly imesitisha usajili wa golikipa wa klabu ya National Bank ya Misri Mohamed Abou Gabal “Gabaski” siku tatu baada ya kumsajili kwa mkopo kuziba nafasi ya El …
-
Timu ya Yanga sc na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) zimechaguliwa kuwania tuzo ya klabu bora barani Afrika na Timu bora ya Taifa barani Afrika na shirikisho la …
-
Kiungo Novatus Dismas anyeichezea klabu ya Zulte Waregem ambayo imeshuka daraja kutoka ligi kuu ya soka nchini Ubelgiji amezivutia klabu za Southampton na Middlesbrough za nchini Uingereza ambazo zinapambana kuwania …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana mei 29, 2023 ameongoza kikao cha Mawaziri wa nchi za Kenya na Uganda kwa njia ya mtandao ikiwa ni …
-
Klabu ya soka ya Simba sc imeamuajiri Mels Daalder kuwa skauti mkuu wa timu kwa ajili ya kutafuta vipaji vya wachezaji ambao watasajiliwa na klabu hiyo kwa ajili ya mashindano …
-
Klabu ya Simba sc imekubali kuambulia alama moja katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Namungo Fc uliofanyika katika uwanja wa Majaliwa ulioko wilaya ya Ruangwa mkoani Mtwara. Simba …