Kocha mkuu wa Simba Sc, Sven Vandenbroeck amemtangaza John Bocco kama nahodha wa timu hiyo na chaguo lake katika kikosi chake cha kwanza katika msimu mpya wa ligi kuu bara …
sportpesa
-
-
Uongozi wa Simba Sc umemtangaza mtendaji mkuu mpya wa klabu yao(CEO), Barbara Gonzalez ambaye atakuwa mrithi katika kiti cha Senzo Mbatha ambaye alijiuzulu na kuibukia Yanga Sc. Mkurugenzi wa bodi …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc,Sven Vandenbroeck amewachomoa nyota wake watatu ambao ni Luis Miqussone,Pascal Wawa na Chris Mugalo kwa kuwa hawakuwepo kwenye mazoezi ya awali na wachezaji wenzao kambini wiki …
-
Bilionea wa GSM ,Ghalib Mohhamed amewahamisha wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la ufundi ili kupata utulivu kwenye makazi yao mapya yaliopo Kigamboni kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao …
-
Tetesi zinaeleza kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa siku ya Jana jioni alikabidhi ofisi na nyaraka za klabu hiyo kwa madai ya kuwa hakuwa akisikilizwa huku taarifa zingine …
-
Inaelezwa kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison anaweza kuonekana akiwa kwenye uzi mweupe na mwekundu kwani tayari amemalizana na uongozi wa Smba hivyo mda wowote anaweza kutangazwa. Mkurugenzi wa Uwekezaji …