Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Sportspesa imekabidhi hundi ya kiasi cha shilingi za Kitanzania 537,500,000 ikiwa ni sehemu ya Bonasi za klabu hiyo kutokana na kufanya vizuri katika msimu …
sportspesa
-
-
Siku chache baada ya klabu ya Yanga sc kutambulisha jezi mpya kwa ajili ya michuano ya kimataifa zenye nembo ya kampuni ya Hier kifuani mdhamini mkuu wa klabu hiyo Kampuni …
-
Klabu ya Yanga sc imesaini mkataba mnono wa udhamini na kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sportspesa ambao una thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania Bilioni kumi na mbili …
-
Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 5 -0 mbele ya Baobab Queens leo kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Ushindi huo unaifanya Simba Queens kutangazwa …
-
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imeashiria inapanga kurejea katika soko la Kenya, saa chache tu baada ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kusaini mswada wa fedha Juni 30, …
-
Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa Sportpesa Tanzania Abbas Tarimba amesema mwaka huu (2020) hakutakuwa na Mashindano ya Sportpesa kutokana na kuyumba kwa uchumi wa kampuni hiyo kulikotokana na mlipuko …
-
Timu ya Gormahia inayoshiriki ligi kuu nchini Kenya imeshindwa kukusanya kiasi cha kutosha kwenye harambee maalumu ya kuichangia timu hiyo ili ipate fedha za kuwezesha kucheza mchezo wa hatua ya …
-
Kama ulijua bakula linatembezwa jangwani pekee basi utakua umechemsha baada ya mfumo huo wa kuomba michango kuiangukia klabu ya Gormahia ya nchini kenya baada ya kutetereka kiuchumi siku za hivi …
-
Ni mwaka wa neema jangwani ndi unavyoweza kusema kwa sasa baada ya timu hiyo kupokea dili nono la udhamini kutoka kampuni ya GSM kupitia magodoro ya Gsm foam ambao wameingia …
-
Klabu ya Yanga sc imethibitisha kuwa itavaana na Kariobang Sharks ya Kenya katika siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi katika uwanja wa taifa Agosti 4 jijini Dar es salaam. …