Timu ya Taifa ya soka nchini “Taifa Stars” kesho itakua na kibarua kigumu katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia kwa kundi E dhidi ya Morroco utakaofanyika …
stars
-
-
Penati ya utata dakika ya 68 imechangia kufungwa kwa timu ya taifa ya Tanzania kwa mabao 2-1 na Libya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika nchini Cameroon …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) kesho itashuka uwanjani kupambana na Sudan katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya afrika kwa wachezaji wa ndani zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka …
-
Makipa wa klabu ya Simba sc Aishu Manula na Beno Kakolanya wameachwa katika kikosi cha timu ya taifa (Taifa stars) kilichochaguliwa kwa ajili ya mchezo wa kufuzu michuano ya mataifa …
-
Winga wa Diffaa El-Jadid ya Morroco Saimon Msuva ameisaidia Tanzania kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Burundi baada ya kusawazisha goli la Cedrick Amis lililofungwa dakika ya 81. Msuva …
-
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda ameendelea kugawa neema kwa soka la Tanzania baada ya kuamua kuwapa eneo la ekari 15 shirikisho la soka la Tanzania(TFF) kwa …
-
Beki wa klabu ya Simba Shomari Kapombe amekanusha taarifa zilizosambaa zikidai ametonesha majeraha yake wakati akifanya mazoezi na kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na michuano ya Afrika (Afcon),Beki huyo …
-
Beki wa Simba sc Shomari Kapombe ana hatihati ya kutokwenda katika michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon) baada ya kutopona majeraha yake kwa asilimia 100.Kapombe aliyeumia katika kambi ya siku kumi …