Timu ya Taifa ya Tanzania kwa wachezaji wa ndani imefanikiwa kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani itkayofanyika nchini mwaka 2025. Kikosi cha timu hiyo kimefuzu licha …
sudan
-
-
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kutoka sare ya 1-1 na timu ya Taifa ya Sudan katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya Fifa …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) kimeingia kambini kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Sudan unaotarajiwa kufanyika siku ya Oktoba 18 ambapo mchezo huo …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Asante Katoko ya nchini Ghana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa nchini Sudan ambayo inafanyika kwa mwaliko …
-
Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imetoka sare na timu ya taifa ya Sudan katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya chalenji uliochezwa katika uwanja wa KCCA nchini Uganda …
-
Timu ya taifa ya wanawake ya Zanzibar Queens wamefungwa jumla ya magoli 5-0 na timu ya taifa ya Sudan kusini katika michuano ya Cecafa kwa wanawake inayoendelea nchini. Mchezo huo …
-
Mabao ya Erasto Nyoni na Ditram Nchimbi yametosha kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania katika fainali za michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) zitakazofanyika mwakani nchini …
-
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) imewasili mjini Khartoum nchini Sudan kuelekea mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani(Chan) ikitokea Kigali …
-
Timu ya taifa ya Tanzania(taifa stars) ipo katika hatihati ya kukosa nafasi ya kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani(Chan) baada ya jana kukubali kipigo cha bao …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) kesho itashuka uwanjani kupambana na Sudan katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya afrika kwa wachezaji wa ndani zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka …