Kikosi cha Simba Sc kimesema kuwa kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri dhidi ya JKT Tanzania ikiwa ni mchezo wa raundi ya tano ligi …
sven
-
-
Kocha mkuu wa Simba SC,Sven Vandenbroeck amesema kwa sasa anakiandaa kikosi chake maalum kwa mchezo ujao wa ligi kuu bara utakaofanyika uwanja wa Mkapa dhidi ya Biashara United siku ya …
-
Aliyekuwa kiungo wa Simba Sc, Sharaf Shiboub ameamua kutimkia zake Algeria na kujiunga na klabu ya Cs Constantine inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Shiboub amejiunga na klabu hiyo yenye mtaji …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc, Sven Vandenbroeck amemtangaza John Bocco kama nahodha wa timu hiyo na chaguo lake katika kikosi chake cha kwanza katika msimu mpya wa ligi kuu bara …
-
Kocha Mkuu wa timu ya Simba sc Sven Vandebroekamemtimua kambini kiungo mshambuliaji wake Ibrahim Ajibu kutokana na kosa la kuchelewa kambini. Wachezaji wa Simba waliripoti kambini Mei 27 ambapo walipofika …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc amesema kuwa miongoni mwa msosi anaopenda kula ni samaki wale wa bahari ya hindi kwa kuwa wana ladha ya kipekee. Sven ameongoza mechi 18 ndani …
-
Kocha wa klabu ya Simba Sven Vandebroek amesema bado anamhitaji kiungo Said Ndemla katika klabu hiyo licha ya kumuweka benchi katika michezo mbalimbali. Kocha huyo raia wa Uholanzi amesema hayo …
-
Staa wa klabu ya Simba sc Ibrahimu Ajibu ameshangazwa na kauli za kocha mkuu wa timu hiyo Sven Vandebroek kuwa hajitumi na ndio maana hapati nafasi mara kwa mara katika …
-
Kocha wa Simba sc Sven Vandenbroeck amefunguka sababu hasa ya kuwaweka benchi mastaa wa timu hiyo hasa Ibrahim Ajibu na Shiza Kichuya kuwa ni kutokana na kushindwa kumshawishi anapowapa nafasi. …
-
Kocha wa Simba Sven Vanden Broeck amepewa Onyo Kali kwa kosa la kugoma kuwafungulia mlango mwamuzi na Kamishina wa mchezo wakati wa ukaguzi wa timu katika mechi hiyo iliyochezwa Februari …