Klabu ya Simba imewaweka kitimoto wachezaji wanne wa klabu hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.Katika taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema wachezaji hao watatakiwa kujieleza pindi watakapomaliza majukumu yao ya …
Tag: