Tabora United
Tabora United
-
-
Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa winga wa Tabora United Offen Chikola kuelekea msimu ujao wa ligi kuu na michuano ya Kimataifa 2024-2025. Baada ya majadiliano ya pande mbili …
-
Hali ni tete katika kambi ya timu ya Tabora United kufuatia mastaa wa timu hiyo kutishia kugomea mchezo wa mwisho wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union mpaka pale madai …
-
Kungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso Yacouba Songne ameifungulia mashtaka kwa shirikisho la soka nchini (TFF) klabu yake ya Tabora United kisa madai ya mishahara anayodai ya miezi 4 pamoja …
-
Ilikua raha kama kulamba asali ya nyuki wadogo,Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mashabiki na viongozi wa klabu ya Yanga sc kutoka na furaha uwanjani kufuatia ushindi wa klabu hiyo dhidi …
-
Uongozi wa wa klabu ya Tabora United umempa saa 24 Ofisa habari wa klabu ya Yanga Sc Ally Kamwe kumuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Paul Chacha Matiko …
-
Afisa mtendaji wa klabu ya Tabora United Charles Obiny ameweka wazi kuwa kocha wao Anicet Kiazmak atarejea nchini hivi karibuni kuiwahi mechi yao dhidi ya Yanga sc inayotarajiwa kufanyika mwanzoni …
-
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo mkoani tabora umefungiwa kitumika katika michezo ya ligi kuu ya Nbc nchini pamoja na kombe la Shirikisho la Crdb kutokana na kukosa vigezo vya …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kuifunga timu ya Tabora United kwa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika …
-
Klabu ya Tabora United imeahidiwa kupata zawadi ya shilingi milioni hamsini za kitanzania endapo itaifunga klabu ya Simba Sc katika mchezo wa ligi kuu utakaofanyika Februari mosi mwaka huu. Awali …