Kikosi cha timu ya Taifa Stars imesafiri kuweka kambi nchini Misri alfajiri ya leo Julai 09 baada ya jana Julai 8 kuingia kambini jijini Dar es salaam kujiandaa na michuano …
taifa stars
-
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2025 baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Guinea kwa bao 1-0 katika …
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk Samia Suluhu Hassan amenunua tiketi zote za mchezo baina ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Guinea wa kuwania kufuzu michuano …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Dr Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika …
-
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Morocco amemuita beki wa klabu ya Mashujaa Fc Ibrahim Ame kujiunga na kambi ya timu hiyo kuchukua nafasi ya beki wa klabu …
-
Kocha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Morocco ametaja kikosi cha mastaa mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kujiunga na kambi ya timu hiyo kwa ajili ya …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2025 dhidi ya Guinea …
-
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Hemed Morocco amemuongeza kinda wa klabu ya Azam Fc Adolph Mtasingwa Bitegeko katika kikosi cha timu hiyo iliyoko kambini ikijiandaa na mchezo wa …
-
Beki wa klabu ya Cape Town Spurs ya nchini Afrika ya kusini Gadiel Michael Mbaga baada ya kukiwasha katika Klabu yake hiyo hatimaye amejumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kinachokwenda …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vibaya mechi za kirafiki za kalenda ya Fifa ‘Fifa series’ baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Bulgaria katika mchezo …