Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Morocco ametangaza kikosi  cha Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachokwenda Nchini Azerbaijan kwaajili ya Michezo ya FIFA Series 2024 itakayofanyika …
taifa stars
-
-
Beki wa klabu ya Yanga sc Ibrahim Bacca amekua gumzo katika michuano ya mataifa ya Afrika ambayo inaendelea nchini Ivory Coast ambapo sasa imeingia katika hatua ya 16 bora baada …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast hasa baada …
-
Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Adel Amrouche ameyatimba baada ya shirikisho la soka barani Afrika(Caf) kumfungia kutokana na kutoa kauli mbaya juu ya Shirikisho hilo …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Morocco katika mchezo wa kwanza wa kundi F uliofanyika katika mji wa San Pedro nchini Ivory …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo maalumu na kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kilichoweka kambi katika Jiji la San Pedro nchini Ivory …
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan amechangia jumla ya kiasi cha Tsh.milioni mia tano kwa ajili ya kusaidia timu za Taifa za michezo mbalimbali ambayo zitakua …
-
Kikosi cha Taifa Stars kimewasili Ivory Coast kwenye mji wa San Pedro tayari kwa mashindano ya michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) yanayotaraji kuanza Januari 13, 2024 nchini humo. …
-
Mastaa wa Azam Fc waliokua katika timu za taifa wamerejea kambini baada ya kumalizika kwa kalenda ya Fifa za michuano ya kufuzu fainali za kombe la Dunia mwaka 2026 zitakazofanyika …
-
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Morroco katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia litalofanyika mwaka 2026 …