Kocha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Morocco ametaja kikosi cha mastaa mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kujiunga na kambi ya timu hiyo kwa ajili ya …
taifa
-
-
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeanza kutekeleza maelekezo ya Rais John Magufuli wa kubadili jina la Uwanja wa Taifa na kuwa Mkapa Stadium katika kumuenzi rais mstaafu wa …
-
Kikosi cha Simba Sc klabu leo kimekubali kipigo cha mabao 3-2 mbele ya klabu ya Mbao Fc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa. Mbao ilianza kupachika …
-
Uongozi wa uwanja wa taifa umesema kwenye mchezo wa nusu fainali FA cup Simba sc dhidi ya Yanga July 12, 2020 utachezwa ukiwa na Mashabiki elfu (30) badala ya elfu …
-
Mikoa miwili ya Mwanza na Dar-es-salaam ndiyo iliyoteuliwa kutumika kwa ajili ya kumalizia ligi za soka msimu wa 2019/2020. Ligi kuu ya Vodacom na kombe la shirikisho la Azam Sports …
-
Mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara utaanza kwa Yanga na timu nyingine zenye mechi za viporo na kwa upande wa Robo fainali ya FA itachezwa punde baada ya mechi za …
-
Timu ya Simba sc kupitia kwa Afisa Habari wa klabu hiyo Haji Manara imetangaza viingilio vya mechi hiyo ya kimataifa dhidi ya Ud songo ya Msumbiji mchezo utajaofanyika siku ya …