Nahodha wa kikosi cha Arsenal,Pierre Emerick Aubameyang ameiongoza timu yake kutwaa mataji mawili muhimu mfululizo kwa msimu wa 2019/2020 ambayo ni kombe la FA na ngao ya jamii lililopatikana kwenye …
Tag:
taji
-
-
Clatous Chama wa Simba Sc amekabidhi msaada wa Tsh milioni 1 katika kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekeleza wa ahadi …
-
Kikosi cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC ambao walipigwa mabao 2-1 katika Uwanja wa Nelson Mandela. Wanamsimbazi hao wamerejea …
-
Kiungo wa Simba Sc, Luis Miquissone leo Agosti 2,2020 amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Luis amehusika kwenye mabao yote mawili ya …
-
Klabu ya Simba Sc imetwaa taji lake la tatu leo ndani ya msimu wa 2019/20 ambayo ilianza na ngao ya jamii, kwa ushindi wa mabao 4-2 mbele ya Azam FC Uwanja …