Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Amis Tambwe amewapa siku saba klabu ya Singida Fountain Gate kuhakikisha wamemlipa fedha zake za usajili na zingine ambazo anaidai klabu hiyo …
Tambwe
-
-
Inasemekana uongozi wa klabu ya Yanga sc upo kwenye mipango ya kumsajili mshambuliaji Amis Tambwe kwa mkataba wa muda mfupi ili kuongeza nguvu katika kikosi cha timu katika kipindi hiki …
-
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amissi Tambwe ameonyesha utayari wa kurejea Jangwani hata kwa mkataba wa muda mfupi Tambwe anashikilia rekodi ya ufungaji mabao ligi ya Tanzania Bara kwa wachezaji …
-
Mshambualiaji wa Yanga Amis Tambwe amemsihi kocha Mwinyi Zahera kumrejeshea unahodha beki Kelvin Yondani kutokana na ukongwe na uzoefu wa beki huyo aliyejiunga na Yanga toka mwaka 2012. Tambwe aliyetemwa …
-
Kutesa kwa zamu ndiyo msemo sahihi wa kuutumia kwa kipindi hiki wakati harakati za usajili ligi kuu bara zikiendelea kwa timu mbalimbali kujiimarisha hususani hizi za kariakoo,Iko hivi baada ya …