Timu ya soka ya Wanaume ya Tanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 dhidi ya Morocco baada ya kukubali kufungwa mabao 2-0 katika mchezo …
Tanzania
-
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama nchini Morocco ambapo inatarajiwa kucheza siku ya jumatano na timu ya Taifa hilo kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia mwaka …
-
Naibu waziri wa habari sanaaa utamaduni na michezo Mh. Hamis Mwinjuma amewaagiza viongozi wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) kumuitwa bondia Kennedy Ayo aliyedai kutelekezwa Nchini Tunisia na …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania kwa wachezaji wa ndani imefanikiwa kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani itkayofanyika nchini mwaka 2025. Kikosi cha timu hiyo kimefuzu licha …
-
Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la vijana la ukanda wa soka wa Afrika mashariki na kati (Cecafa) …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa Fifa Series dhidi ya Mongolia uliofanyika nchini Azerbaijan na kukamilisha ratiba ya …
-
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Ally Mayay amesema waandaaji wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027; Tanzania, Kenya na Uganda kila nchi itapaswa kuwa na viwanja vitatu na …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo maalumu na kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kilichoweka kambi katika Jiji la San Pedro nchini Ivory …
-
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Morroco katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia litalofanyika mwaka 2026 …
-
Timu ya Yanga sc na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) zimechaguliwa kuwania tuzo ya klabu bora barani Afrika na Timu bora ya Taifa barani Afrika na shirikisho la …