Mshambuliaji Tariq Seif huenda akapewa nafasi ya kuongoza safu ya ushambuliaji kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City baada ya kupona majeraha Jana Tariq alikuwa miongoni mwa wachezaji wa akiba hata …
Tag:
Tariq
-
-
Staa wa klabu ya Yanga aliyekua anasumbuliwa na maumivu ya nyama za paja Tariq Seif Kiakala amerejea mazoezini kujiunga na wenzake kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania …
-
Kikosi cha Yanga leo kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano kwenye uwanja wa Taifa (kama hakutakuwa na mabadiliko). …
-
Inaelezwa kuwa uongozi wa Yanga tayari umemalizana na straika Tariq Seif kutoka Dekernes FC ya Misri amba aye pia aliwahi kkuifunga timu hiyo wakati akiichezea Biashara United ya Mara. Mabosi …