Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, atarejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza Manchester United wiki hii na anapania kuwa na ushirikiano uwanjani na Bruno Fernandes aliyejiunga na …
tetesi
-
-
Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinadai kuwa shirikisho la kabumbu barani Afrika “CAF” limemfuta kazi aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Chelsea Didier Droga kutokana na kushindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo. Kwa mujibu wa …
-
Wachezaji wa Atletico Madrid walishikwa na hasira na kushangazwa baada ya kukosolewa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Atletico iliwafunga Liverpool 1-0 Jumanne katika raundi ya kwanza ya hatua ya …
-
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, 32, amepigiwa simu na klabu ya LA Galaxy kujadili uhamisho wa kuelekea Ligi ya Soka ya Marekani (MLS). (Express) …
-
Barcelona italazimika kumjumuisha mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann katika mpango wowote utakaojaribu kuishawishi Inter Milan kuwauzia Lautaro Martinez. (Sun) Pep Guardiola atasalia kuwa meneja wa Manchester City hata kama klabu …
-
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo, 30, amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari ya maambukizi ya virusi vya corona. Ighalo ambaye yuko …
-
Manchester United imeongeza ombi lao la kutaka kumsaini kiungo wa kati wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes kwa dau la awali la £46.4m lakini klabu hiyo ya Ureno inatarajia ofa bora …
-
* Meneja wa muda wa Arsenal Freddie Ljungberg amewataka wakuu wa Arsenal kuamua haraka mtu wanaemtaka kuwa meneja wao ajae. (Sun) * Inadaiwa Arsenal wanamtaka meneja wa Wolves kuchukua jukumu …
-
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann atajiunga na barcelona msimu ujao baada Mtendaji mkuu wa club ya Atletico Madrid kuthibitisha kuwa suala hilo lilishafikiwa muafaka tangu machi mwaka huu na …