Baada ya kukatishwa tamaa kwenye Kombe la Dunia la Vilabu, kumeibuka sakata la Usajili Real Madrid ambapo inakabiliwa na kazi kubwa ya kujenga upya kikosi chake kwa ajili ya mafanikio …
tetesizausajiliulaya
-
-
SokaUlaya
Kizazi Kipya Katika Safu ya Ushambuliaji 2025 Kuiokolea Chelsea Mamilioni ya Pesa ya Usajili Mbeleni
Klabu ya Chelsea imejulikana kwa matumizi makubwa ya fedha katika soko la usajili, mara nyingi ikitumia mamia ya mamilioni ya pauni kuleta vipaji vya kimataifa Stamford Bridge. Hata hivyo, kuna …
-
Mwezi Julai umekuwa na matukio mengi ya kusisimua tangu kufunguliwa kwa dirisha hili la usajili, tetesi za usajili barani ulaya 2025 zinapamba moto kila siku zinaibuka taarifa mpya zinazohusu wachezaji …
-
Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) limechukua hatua kali dhidi ya vilabu 12 barani humo, vikijumuisha majina makubwa kama Chelsea na Barcelona, kwa kukiuka kanuni zake za kifedha. Uamuzi huu …
-
Abel Mbioni Kutemwa Simba Sc
-
Mabosi wa klabu ya Azam Fc wamefikia makubaliano ya kutemana na kocha wao Rashid Taoussi pamoja na benchi lake la ufundi baada ya kuona kocha huyo hajafikia malengo ya klabu. …
-
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini imehamia kwa kocha wa klabu ya Simba Sc Fadlu Davis Baada ya kuambiwa kuwa José Luis Riveiro hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi …
-
Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini Imefungua mlango wa mazungumzo na Uongozi wa klabu ya Yanga sc ya Tanzania kuona kama wanaweza kumpata Mlinda lango huyo bora kwenye dirisha …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua amezua kizaazaa baada ya kusua sua kusaini mkataba mpya klabuni hapo baada ya ule wa awali kuelekea ukingoni ambapo kuanzia Januari …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua yupo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya klabuni hapo ambapo amedaiwa kuhitaji dau kubwa la usajili ili kusaini mkataba huo. Mkataba …