Klabu ya Yanga sc imeendelea na msimamo wake wa kuhitaji fedha zake za ubingwa wa Kombe la shirikisho la Crdb nchini kwa misimu mitatu mfululizo licha ya kuitwa na shirikisho …
Tff Tanzania
-
-
Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma imesema kuwa haiwezi kuingilia mgogoro unaoendelea kuhusu mechi ya Darby kati ya Simba na Yanga kutokana na kuwepo …
-
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusu madai ya klabu ya Yanga sc kuhusiana na fedha za zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB kwa …
-
Uongozi wa klabu ya Simba Sc unafanya mawasiliano ya karibu na shirikisho la mpira nchini (TFF) ikiwezekana wachezaji wao walioko katika majukumu ya timu ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya …
-
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) Wallace Karia ametolea ufafanuzi suala la wachezaji wa kigeni na kueleza kuwa wachezaji wa kigeni wameongeza ushindani kwenye ligi yetu na …
-
Wachezaji Cletous Chama wa Simba sc na Stephane Aziz Ki wa Yanga sc wamefungiwa michezo mitatu na adhabu ya faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutosalimiana na wachezaji …
-
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa adhabu ya kutosajili kwa kipindi cha dirisha moja kwa klabu za Singida Big Stars …
-
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 23 imefanikiwa kufuzu hatua inayofuatia ya kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika itakayofanyika mwakani nchini Morroco baada …
-
Kuelekea mchezo wa ngao ya jamii baina ya Yanga sc na Simba sc utakaofanyika kesho katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam makocha wa timu zote mbili Zoran …
-
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limempeleka kamati ya maadili Afisa habari wa klabu ya Yanga sc Haji Manara kutokana na kosa la kinidhamu baada ya kurushiana maneno na Rais …