Licha ya kuongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham mpaka kipindi cha kwanza lakini Manchester United imeshindwa kuvuna alama tatu na kulazimishwa sare ya 2-2 katika mchezo huo wa ligi …
Tottenham Hotspurs
-
-
Shirikisho la soka barani uUlaya(UEFA ) limeiondosha klabu ya Tottenham Hotspurs katika michuano ya Uefa conference league baada ya kushindwa kufanyika kwa mchezo wake wa mwisho dhidi ya Rennes ya …
-
Tetesi zinaeleza kuwa bosi wa Manchester United ,Ed Woodward hatasita kumfuta kazi kocha mkuu wa miamba hiyo ya Oldtrafford,Ole Gunnar Solskajaer kama Man United itaendelea kupata matokeo mabovu msimu huu. …
-
Manchester United imeshushiwa mvua ya mabao 6-0 na Tottenham Hotspurs katika mchezo wa jana wa ligi kuu England uliofanyika Old Trafford na kupoteza pointi tatu muhimu mbele kikosi hicho kinachonolewa …
-
Tottenham Hotspurs wamejinasia huduma ya mshambuliaji wa Benfica ya ligi kuu Ureno, Carlos Vinicius kwa mkopo wa mwaka mmoja. Vinicius ambaye ni raia wa Brazil ameondoka Benfica akiwa amewafungia jumla …
-
Mchezo wa Kombe la Carabao hatua ya 16 bora uliochezwa jana uwanja wa Tottenham Hotspur kati ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ulikuwa na ushindani mkubwa na dakika 90 zilikamilika kwa …
-
Kocha mkuu wa Tottenhum Hotspurs,Jose Mourinho amekiri kutokuwa na uhakika kuhusu wakati ambapo sajili mpya Gareth Bale atarejea uwanjani kusakata soka, lakini amesema anatamani mno kumpa nafasi nyota huyo nafasi …
-
Staa wa Real Madrid Gareth Bale na Sergio Reguilon wameondoka katika jiji la Madrid na kuelekea London ili kukamilisha usajili wao wa kujiunga na klabu ya Tottenham Hotspurs. Taarifa za …
-
Tottenham Hotspurs wamemuweka sokoni mchezaji wao,Tanguy Ndombele ambaye kwa sasa yupo kwenye uangalizi maalum baada ya kukutwa na Virusi Vya Corona. Ndombele yupo mezani kwa dau la pauni milioni 54 …
-
Tottenham Hotspurs imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano baada ya utaratibu wa vipimo kukamilika. Pierre amejiunga na klabu hiyo kwa dau la thamani …