Mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza kati ya Tottenham Hotspur dhidi ya Manchester United umemalizika kwa sare ya bao moja na kuongeza matumaini ya kushiriki michuano ya klabu bingwa barani …
Tottenham Hotspurs
-
-
Kocha wa Tottenham Hotspurs, Mauricio Pochettino sasa yuko huru kujiunga na klabu yoyote anayoitaka bila vikwazo kutoka kwa waajiri wake baada ya marufuku ya miezi sita yaliyomzuia kufanya hivyo kukamilika. …
-
Harry Kane anaamini kuwa atakuwa tayari kabisa kurudi uwanjani pindi tu ligi itakaporejea,kwani apo awali alipata jeraha lililomuweka nje ya dimba kabla ya ligi kusimamishwa kutokana na Janga la Corona. …
-
Kocha mkuu wa Tottenham Hotspurs,Jose Mourinho amesema kuwa alilia sana baada ya Real Madrid kufungwa na Bayern Munich katika mechi ya nusu fainali ya kuwania kombe la ligi ya Mabingwa …
-
Miamba ya soka ndani ya Ligi Kuu England ikiwa ni pamoja na Liverpool, Manchester United na Arsenal imegongana kwenye kuwania saini ya winga anayekipiga ndani ya klabu ya Monaco, Wissam …
-
Beki anayekipiga ndani ya klabu ya Barcelona,Samuel Umtiti amesema kuwa hana mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho kwani bado anafurahia maisha yake ndani ya kikosi hicho. Winga huyo mwenye …
-
Mshambuliaji wa Manchester United ,Marcus Rashford amesema alivumilia kipindi kigumu chini ya aliyekuwa meneja wa klabu hiyo ya Old Traford,Jose Mourinho na kufanikiwa kuwa mchezaji bora. Mourinho alikuwa meneja wa …
-
Kocha mkuu wa Tottenham Hotspur Jose Mourinho ameamua kumuaga mchezaji wake Christian Eriksen kwa kumtaka aondoke akiwa na furaha kwani mara kwa mara tetesi zilikuwa zikitajwa kuwa anataka kuondoka kwenye …
-
Jose Mourinho ameithibitisha dunia kuwa yeye ni zaidi ya kocha baada ya kufanikiwa kuiongoza Tottenham kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Westham united ukiwa na mchezo wa kwanza …
-
Manchester City wapo katika mazungumzo na mshambuliaji Raheem Sterling kwa ajili ya kumuongezea mkataba mpya ambao utamfanya nyota huyo wa Kiingereza kuingiza kibindoni Pauni 300,000 kwa wiki. ( Daily Mail …