Shirikisho la soka la nchini Uingereza(Fa) limeifuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa timu ya Tottenham Hotspurs Son Heung-min baada ya kujiridhisha kuwa kuwa mchezaji huyo hakumgusa mchezaji wa Everton Andre …
Tottenham Hotspurs
-
-
Klabu ya Everton ya nchini England, imethibitisha kuwa mchezaji wao Andre Gomes atafanyiwa upasuaji leo hii nchini humo. Gomes alivunjika mguu wake wa kulia siku ya jana katika mchezo wa …
-
Timu ya Bayern Munchen imeifunga Tottenham mabao 7-2 katika mchezo wa kundi B michuano ya klabu bingwa barani ulaya mchezo uliofanyika katika uwanja wa nyumbani wa Tottenham Arena jijini London …
-
Licha ya dirisha la usajili kufungwa bado bundi ametanda katika klabu ya Tottenham kufuatia mastaa kibao kumaliza mikataba yao mwakani hivyo kuanzia januari watakua huru kuzungumza na klabu zingine. Mastaa …
-
Kiungo wa Tottenham Victor Wanyama yuko mbioni kujiunga na timu ya Club Bruge ya Ubelgiji baada ya timu hiyo kukubaliana dau la paundi milioni 9 ili staa huyo ajiunge na …
-
Kikosi cha Manchester United kimeendelea kuonyesha makali katika michuano ya Icc baada ya jana kuifunga timu ya Tottenham kwa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika nchini China. Athony Martial ameendelea kuonyesha …