Baada ya kukaribia kukamilisha usajili kwenda klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imesadika kuwa mauzo ya mchezaji huyo yataifaidisha klabu ya Simba ambayo aliichezea staa huyo kabla …
Tp mazembe
-
-
Winga wa zamani wa klabu ya Simba Ramadhani Singano “Messi”amejiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini Kongo baada ya kumaliza mkataba na Timu ya Azam fc. Singano alijiunga na …
-
Simba sc wamekamilisha usajili wa mshambualiaji Deo Kanda aliyekuwa akiichezea Tp Mazembe ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendeleza moto wa klabu hiyo katika ligi kuu na michuano ya kamataifa. …
-
Mchezaji wa zamani wa Tp Mazembe na mshindi mara moja wa kombe la klabu bingwa barani Afrika Thomas Ulimwengu amekanusha taarifa za yeye kujiunga na mabingwa wa kihistoria wa ligi …
-
Klabu ya Simba sc imemvuta mshambuliaji Deo Kanda kutoka Tp mazembe ya Kongo kwa usajili wa mkopo wa msimu mmoja baada ya Pande mbili kukubaliana. Taarifa iliyothibitishwa na Mabingwa hao …