Pamoja na kukubali matokeo baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa ligi kuu, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema ratiba imechangia timu yake …
Tpl
-
-
Timu ya soka ya manispaa ya Kinondoni(Kmc) imemtimua kocha Jackson Mayanja baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha hasa uwanjani hususani baada ya kutopata matokeo yasiyorodhisha. Timu hiyo imekua na mwenendo …
-
Klabu ya Azam fc imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya biashara united katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Chamazi unaomilikiwa na klabu hiyo. Iliwachukua Azam Fc dakika …
-
Timu ya soka ya Kmc imepoteza mchezo wa ligi kuu nyumbani baada ya kufungwa 2-1 na Kagera sugar katika mchezo uliofanyika jijini Dar es salaam katika uwanja wa uhuru. Mabao …
-
Timu ya Prisons imefanikiwa kulazimisha suluhu na Simba sc katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Mchezo ulioanza kwa kasi ukitawaliwa na krosi nyingi …
-
Kocha wa Simba sc Patrick Ausems ameonyesha ubabe baada ya kuisadia timu hiyo kuibuka na ushindi katika mechi nne za ligi kuu ilizocheza mpaka sasa ambapo kufuatia ushindi huo mfululizo …
-
Timu ya Kmc hatimaye imeonja ladha ya ushindi baada ya kuifunga Namungo Fc 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa katika uwanja Chamazi complex jijini Dar es salaam. …
-
Waziri wa mwenye dhamana ya michezo Harrison Mwakyembe ameruhusu usajili wa wachezaji 10 wa kigeni katika timu zinazoshiriki ligi kuu nchini. Awali Waziri Mwakyembe alitoa tamko linaloashilia kutokubaliana na idadi …
-
Baada ya jana kushindwa kuonyesha michezo hiyo ya mtoano kutokana na vurugu,Bodi ya ligi imeiomba kampuni hiyo kuonyesha live michuano hiyo ambayo itaendelea leo jioni.