Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Februari 03, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya …
Tplb
-
-
Uongozi wa klabu ya Yanga umepeleka malalamiko Bodi ya ligi (TPLB) juu ya faini walizopewa katika mechi zao zilizochezwa mwezi uliopita kutokana na kutoridhishwa na jinsi hatua hizo zilivyo chukuliwa …
-
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara(TPLB) imepangua ratiba ya ligi kuu kwa kubadili muda wa mechi kati ya Azam fc na Simba sc iliyopangwa kufanyika saa 11 jioni badala ya …
-
Mtendaji mkuui wa bodi ya ligi Michael Wambura ameondolewa katika nafasi hiyo baada ya mkataba wake kuisha na shirikisho la soka nchini(Tff) kuamua kutomuongezea mkataba. Wambura amepewa nafasi ya Mkurugenzi …
-
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na bodi ya ligi kuu Tanzania bara(TPLB) kwenda kwa vyombo vya habari kuhusu kufungiwa kwa baadhi ya viwanja.
-
Bodi ya ligi kuu ya Tanzania bara(Tplb) imeamua kupunguza idadi ya timu ambazo zitashiriki ligi kuu kuanzia wa 2020/2021 ambapo ligi hiyo itabaki na timu 16 kutoka 20 zilizopo sasa.Mchanganua …
-
Bodi ya ligi kuu ya Tanzania bara (TPLB) imeigomea klabu ya Yanga sc ombi la kusogeza mbele mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ulipangwa kufanyika Agosti 28 kufuatia …
-
Bodi ya ligi kuu ya Tanzania bara (TPLB) imevifungia viwanja vya Mwadui complex,Manungu na Mabitini kutumika katika mechi za ligi kuu mpaka hapo vitakapofanyiwa ukarabati na kuthibitishwa na bodi hiyo …
-
Baada ya jana kushindwa kuonyesha michezo hiyo ya mtoano kutokana na vurugu,Bodi ya ligi imeiomba kampuni hiyo kuonyesha live michuano hiyo ambayo itaendelea leo jioni.