Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefungwa bao 1-0 na Tunisia katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon 2021) katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Olympique …
tunisia
-
-
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)Etienne Ndayiragije amesema kuwa amekiandaa kikosi chake vizuri kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Afcon kesho Novemba 13 ,dhidi ya Tunisia …
-
Penati ya utata dakika ya 68 imechangia kufungwa kwa timu ya taifa ya Tanzania kwa mabao 2-1 na Libya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika nchini Cameroon …
-
Timu ya Taifa Taifa Stars imetua nchini Tunisia kwa mchezo wa pili wa Kundi J dhidi ya Libya utakaochezwa Jumanne Novemba 19. Taifa Stars imetua na Kikosi cha Wachezaji 22 …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) imekwea pipa leo alfajiri kuelekea nchini Tunisia kucheza mechi ya pili ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika dhidi ya Libya itakayofanyika siku …
-
Hatimaye timu ya taifa ya Nigeria(Super Eagles) imepoza machungu ya kufungwa nusu fainali baada kuibuka mshindi wa nafasi ya tatu katika michuano hiyo ambayo fainali itafanyika ijumaa ya leo kati …
-
Hatimaye baada ya miaka 17 kupita timu ya taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi …