Yule mbaya wa Simba aliyewaua katika mechi ya kimataifa dhidi ya Ud Songo Luis Jose Miqquisone ananyemelewa na Yanga katika usajili wa dirisha dogo la hivi sasa. Staa huyo aliacha …
ud songo
-
-
Klabu ya Yanga inamfatilia kwa ukaribu nahodha wa timu ya Ud songo ya Msumbiji Luis Miquisson mwenye miaka 24 ambaye huvaa jezi namba 17Â pia anaichezea timu ya taifa ya …
-
Timu ya Simba sc imetolewa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kukubali kutoa sare ya 1-1 na timu ya Ud Songo kutoka Msumbuji katika mchezo wa marudiano …
-
Rasmi imethibitishwa nyota wawili wa klabu ya Simba sc Ibrahimu Ajibu na John Boko wataukosa mchezo wa kalbu bingwa Afrika dhidi ya Ud songo y Msumbiji baada ya wawili hao …
-
Timu ya Simba sc kupitia kwa Afisa Habari wa klabu hiyo Haji Manara imetangaza viingilio vya mechi hiyo ya kimataifa dhidi ya Ud songo ya Msumbiji mchezo utajaofanyika siku ya …
-
Bado haijafahamika kama mshambuliaji wa Simba sc John Boko atakua fiti kucheza mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ud Songo baada ya kupata maumivu katika mchezo dhidi ya Azam …
-
Timu ya Simba sc leo imeondoka nchini kwenda nchini Msumbiji kwenda kucheza na Ud Songo katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika mchezo utakaopigwa siku ya kesho Jumamosi nchini …