Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kupata udhamini mnono wa miaka mitano kutoka kampuni ya Gsm Beverages ya jijini Dar es salaam inayojihusisha na kuuza vinywaji ikiwemo vya kuongeza nguvu sambamba …
udhamini
-
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kupata udhamini mnono wa kutoka kampuni ya kubashiri ya M-beti ambayo ndiyo itakua mdhamini mkuu wa klabu hiyo yenye jina kubwa Afrika kwa sasa. Simba …
-
Benki ya KCB imeingia mkataba wa udhamini wa ligi kuu Tanzaniabara na shirikisho la soka nchini(Tff) mkataba ambao umesainiwa leo . Mkataba huo wenye thamani ya kiasi cha Shilingi milioni …
-
Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya Gsm wamejitoa kuisaidia timu katika baadhi ya vitu ambavyo havimo katika mkataba kama kusaidia usajili pamoja na kulipa mishahara ya wachezaji na makocha …
-
Timu ya manispaa ya kinondoni (Kmc) imeingia udhamini mnono wenye thamani ya Bilioni moja na kampuni ya kubashiri ya M-bet baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano. Akiongea na waandishi …
-
Mfanyabiashara nguli na maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz amesema yupo tayari kuidhamini na kuendelea kuisaidia Yanga kwa maana ndio klabu anayoishabikia toka utotoni japo hayupo tayari kuwa mfadhili au mwekezaji …