Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la klabu bingwa barani ulaya ikimfunga Liverpool Fc 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika uwanja wa Stadium de France uliopo St.Dennis jijini Paris Ufaransa. …
UEFA Champions League
-
-
Klabu ya Chelsea imeshindwa kufuzu hatua ya nusu ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya licha ya kuibuka na ushindi wa 3-2 ugenini dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa …
-
Mabao matatau ya Karim Benzema yalitosha kutuma salamu kwa Chelsea kujipanga katika mchezo ujao wa hatua ya marudiano jijini Madridi baada ya kuwaadhibu kwa jumla ya mabao 3-1 katika mchezo …
-
Klabu ya Manchester united imeondoshwa nje ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0 na Atletico Madrid ya nchini Hispania na kuondolewa katika michuano kwa jumla …
-
Mabao matatu ya mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema yalitosha kuwaondosha Psg katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya mchezo uliofanyika …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuondoka na alama moja katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya dhidi ya klabu ya Atletico Madrid katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Wanda Metropolitano …
-
Ilibidi Psg kusubiri mpaka dakika ya mwisho ya mchezo ili kupata bao la uongozi dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya kombe la klabu bingwa …
-
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuifunga Juventus Fc mabao 4-0 katika mchezo wa michuano ya klabu bingwa barani ulaya(Uefa) uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge huku timu hiyo ikfanikiwa kuonyesha kiwango …
-
Baada ya kupitia kipindi kigumu katika michezo mbalimbali ya ligi kuu nchini Uingereza hatimaye klabu ya Manchester United imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Villareal inayonolewa …
-
Klabu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Istanbul BasakSeher ya nchini Uturuki katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo. Bruno …