Baada ya kupitia kipindi kigumu katika michezo mbalimbali ya ligi kuu nchini Uingereza hatimaye klabu ya Manchester United imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Villareal inayonolewa …
UEFA Champions League
-
-
Klabu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Istanbul BasakSeher ya nchini Uturuki katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo. Bruno …
-
Klabu ya Manchester United imeendelea kuwa na matokeo ya kusuasua baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Instabull BB katika mchezo wa kundi H katika michuano ya …
-
Bayern Munich ambao ni mabingwa watetezi wa UEFA Champion League wamezidi kuwasha moto katika michuano msimu huu wa 2020/2021 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Atletico Madrid …
-
Kocha wa zamani wa Ajax,Frank De Boer ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi kwa ajili ya kujaza pengo lililoachwa na Ronald Koeman ambaye kwa sasa anainoa …
-
Barcelona wamekubali kumwachia mshambuliaji wao,Luis Suarez kujiunga na washindani wakuu wa ligi kuu ya Uhispania (Laliga),Atletico Madrid. Suarez ametumia miaka sita ndani ya Barcelona ambapo amecheza jumla ya mechi 283 …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kumaliza ligi kuu nchini Uingereza kwa kishindo baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Leicester City katika uwanja wa King …
-
Klabu ya PSG imetagazwa mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1 baada ya serikali kuamua kufuta michezo yote kwa mwaka huu kutokana na janga la ugonjwa wa covid-19. Awali …
-
Wachezaji wa Arsenal, wamekubali kukatwa asilimia 12.5 ya mishahara yao, baada ya kuahidiwa ‘bonasi’ kubwa katika ligi ya mabingwa Ulaya na kombe la ligi ya Europa. Wachezaji watafidia fedha watakazokatwa …
-
Man city Waajiri mwanasheria,kumlipa milioni 59 kwa siku kuhakikisha wanashinda rufaa ili kushiriki Uefa msimu ujao.