Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Manchester City ilioupata klabu ya Real Madrid umeiwezesha kuingia hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya katika mchezo uliofanyika …
UEFA
-
-
Shirikisho la soka barani uUlaya(UEFA ) limeiondosha klabu ya Tottenham Hotspurs katika michuano ya Uefa conference league baada ya kushindwa kufanyika kwa mchezo wake wa mwisho dhidi ya Rennes ya …
-
Uefa imeahirisha mkutano wake wa kamati ya utendaji uliopangwa kufanyika mwezi Mei 27 kwa sababu ya “nafasi wazi” kuhusu kumbi za mashindano ya mwaka ujao wa Euro 2020. Uefa imesema …
-
Kiungo wa Manchester City ambaye pia ni raia wa Ubelgiji,Kelvin De Bruyne anaweza kusepa mda wowote ndani ya kikosi chake kama rufaa ya klabu hiyo ya kufungiwa miaka miwili kucheza …
-
Kutokana na kuenea kwa Virusi vya Corona ambavyo vilianza kusambaa mwezi Januari,UEFAÂ wamesitisha michuano ya Euro na inatarajiwa kuanza kufanyika 2021 kati ya Juni 11 mpaka Julai 11 mwaka ujao. …
-
Ndio msemo rahisi kuusema kwa sasa baada ya jana Liverpool kushindwa kuonyesha ubabe mbele ya Atletico Madrid baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa klabu bingwa barani …
-
Manchester United imeibuka kinara wa kundi L baada ya hapo jana usiku kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Az Alkamaar katika mchezo wa ligi ya ulaya uliofanyika katika …
-
Timu ya Krc Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta imetolewa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 mbele ya Napoli katika mchezo …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Dennis Kitambi amepata nafasi ya kushiriki mafunzo ya ukocha ya Uefa ambayo yatatolewa nchini na wataalamu kutoka Denmark kuanzia disemba 2-10 mwaka huu. Kitambi …
-
Rais w shirikisho la soka la Bulgaria Borislav Mihaylov amejiuzulu nafasi hiyo kufuatia vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyoonyesha na mashabiki pamoja na wachezaji wa taifa hilo katika mchezo dhidi …