Waandaaji Watolewa CHAN 2024 Kenya, Tanzania, na Uganda Mbio zao Kihistoria Zafikia Kikomo Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) PAMOJA 2024 yamewashuhudia vigogo wa soka kutoka Afrika Mashariki, …
Uganda
-
-
Waandaaji wa CHAN 2024 waweka Historia Watinga robo fainali TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) 2024 imeingia kwenye vitabu vya historia ya soka la Afrika. Kwa mara ya kwanza kabisa katika …
-
Uganda
-
Timu ya Taifa ya Afrika kusini maarufu kama Bafana Bafana ilishindwa kufanikiwa kuwafunga timu ya Taifa ya Niger katika mchezo wao wa pili wa kundi D wa Kombe la Mataifa …
-
Algeria Yaanza kwa Kishindo, Uganda wachezea kichapo kutoka Algeria 3-0 Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) PAMOJA 2024 yameanza kwa mshangao na …
-
Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limeboresha maslahi ya wachezaji wake wa timu ya Taifa hasa kuelekea katika mchezo muhimu wa kufuzu Afcon ambapo awali posho ya siku ilikuwa Sh1.2 milioni …
-
Timu ya Taifa ya Uganda (Uganda The Cranes) imezima matumaini ya Tanzania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2023(Afcon 2023) zitakazofanyika nchini Ivory Coast baadaya kufanikiwa kuibuka na ushindi …
-
Shirikisho la soka nchini Tanzania (Tff) limetangaza kutokua na kiingilio katika kuushuhudia mchezo baina ya Timu ya Taifa ya Tanzania itakayocheza mchezo dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (The …
-
Timu ya taifa ya wanawake Kilimanjaro Queens wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 baada ya kuipa kichapo Uganda kwenye mchezo wa kufuzu tiketi ya kushiriki kombe la dunia uliochezwa leo …
-
Klabu ya Yanga imvunja mkataba na mshambuliaji Juma Balinya baada ya pande mbili kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba huo wa miaka miwili uliosainiwa miezi sita iliyopita. Balinya aliyekuwa mfungaji bora …