Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeanza kutekeleza maelekezo ya Rais John Magufuli wa kubadili jina la Uwanja wa Taifa na kuwa Mkapa Stadium katika kumuenzi rais mstaafu wa …
uhuru
-
-
Mikoa miwili ya Mwanza na Dar-es-salaam ndiyo iliyoteuliwa kutumika kwa ajili ya kumalizia ligi za soka msimu wa 2019/2020. Ligi kuu ya Vodacom na kombe la shirikisho la Azam Sports …
-
Mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara utaanza kwa Yanga na timu nyingine zenye mechi za viporo na kwa upande wa Robo fainali ya FA itachezwa punde baada ya mechi za …
-
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha mabadiliko ya uwanja utakaotumika leo kwenye mchezo wa raundi ya tano kombe la FA dhidi ya Gwambina Fc. Mchezo huo umehamishiwa uwanja wa Uhuru …
-
Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi mbele ya bondia mfilipino Arnel Tinampay katika pambano la uzito wa juu la raundi 10 lililofanyika uwanja wa uhuru. Mwakinyo aliyepewa sapoti ya kutosha …
-
Mabondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay hii leo wamekamilisha zoezi la upimaji ambapo Mwakinyo amemzidi kilo 1 mpinzani wake Arnel Tinampay atakayepambana naye katika uzani wa Super Welter kesho kwenye …
-
Straika Mnamibia wa klabu ya Yanga Sadney Urikhob ambaye inadaiwa ametoweka klabuni hapo ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Awali baadhi …
-
Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza kutokua na kiingilio katika pambano lake la uzito wa juu dhidi ya bondia kutoka Ufilipino Arnel Tinampay litakalofanyika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam tarehe …
-
Winga wa zamani wa Simba sc na Royal Eagle ya South Afrika Uhuru Selemani amejiunga na timu ya Fc lupopo inayoshiriki ligi kuu nchini Kongo baada ya kusaini mkataba wa …