Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo imetangaza kumsajili Winga wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu kwa mkataba wa miaka miwili Kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na …
Tag:
ulimwengu
-
-
Mchezaji wa zamani wa Tp Mazembe na mshindi mara moja wa kombe la klabu bingwa barani Afrika Thomas Ulimwengu amekanusha taarifa za yeye kujiunga na mabingwa wa kihistoria wa ligi …