Baada ya nahodha wa yanga Papy Tshishimbi kusuasua kusaini mkataba mpya,mambo yamemgeukia kwani Yanga ni kama wamemfungia vioo baada ya kuamua kusajili wachezaji wengine katika nafasi yake. Zilianza kama tetesi …
Tag:
usajil
-
-
Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc ameanza mikakati ya kusuka upya kikosi chake huku akiweka wazi kuwa anahitaji wachezaji saba na amepanga kuwatema 11. Yanga inaonekana kupata wakati mgumu …
-
Erkut Sogot ambaye ni wakala wa staa wa Arsenal ,Mesut Ozil amesema kuwa lengo la mteja wake ni kuhakikisha anamaliza muda wake ndani ya kikosi hicho kwani bado anahitaji kufanya …