Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba sc imefanikiwa kumrejesha tena nchini kiungo wake mshambuliaji wa zamani Mzambia Clatous Chota Chama na kumtambulisha mchana huu. Simba sc imefanikiwa …
usajili bongo
-
-
Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga sc imemsajili na kumtambulisha mlinzi wa kati wa mabingwa wa Zanzibar KMKM Ibrahim Bacca kwa mkataba wa miaka miwili kukipiga Jangwani. Kitasa huyo alikuwa kwenye …
-
Mabingwa watetezi wa soka nchini Simba sc wanajiandaa kuisimamisha nchi katika siku hizi nne zilizobaki kuelekea kufungwa kwa dirisha dogo la usajili linalotarajia kufungwa Januari 15 siku ya Jumamosi majira …
-
Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga sc imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Mbeya Kwanza Crispin Ngushi na kumtambulisha rasmi usiku wa kuamkia leo ndani ya makao makuu ya klabu hiyo …
-
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc IbrahimAjibu Migomba amejiunga na matajiri wa Jiji la Dar es salaam Azam Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja kuwatumikia waoka mikate hao wa Chamazi. Taarifa …
-
Aliyekuwa mlinda mlango namba moja wa wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Aboutwalib Mshery amejiunga na mabingwa wa kihistoria nchini klabu ya soka ya Yanga hii leo. Mshery amesaini kandarasi ya …
-
Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga Nasreedine Nabi ameweka wazi uhitaji wake wa wachezaji wapya kwenye dirisha hili dogo la usajili linaloendelea hapa nchini. Katika mahojiano baada ya …
-
Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake Ditram nchimbi pamoja na Adeyun Swalehe waliojiunga na klabu ya Geita Gold baada ya kumalizika kwa mikataba …
-
Winga wa zamani wa vilabu vya TP Mazembe na Simba sc Deogratius Kanda amejiunga rasmi na wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Mtibwa Sugar katika dirisha hili dogo la usajili. Deo …
-
Mlinda mlango wa Polisi Tanzania Metacha Mnata ametangaza rasmi kuachana na wakala wake wa muda mrefu Jemedari Said hii leo kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Instagram. …