Klabu ya AC Milan imeanza mazungumzo na Manchester united kuhusu kumsajili mlinzi wa kati kutoka Ivory Coast Eric Bailly katika dirisha hili dogo la usajili la majira ya baridi barani …
usajili ulaya
-
-
Harakati za usajili kwa dirisha dogo la majira ya baridi nchini England zimeendelea baada ua hii leo kufanyika kwa sajili mbili kubwa ndani ya lvilabu viwili vinavyoshiriki ligi kuu ya …
-
Mgogoro unaoendelea kati ya mshambuliaji asiye na furaha wa Chelsea Romelu Lukaku huenda ukapelekea mchezaji huyo ajiunge na kocha wake wa zamani Antonio Conte katika klabu ya Tottenham.(Gazzetta Dela Sport) …
-
Liverpool wanavutiwa na mpango wa kumsajili winga wa Arsenal Bukayo Saka ambaye mkataba wake na washika bunduki wa London unamalizika mwaka 2024.(Express) Liverpool pia wametuma ofa ya mkataba kwa kiungo …
-
Mshambuliaji wa FC Barcelona Ousmanne Dembele huenda akaondoka katika klabu hiyo baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa kusalia Camp Nou. Hali kwasasa ni ya mchanganyiko kati …
-
Kiungo wa Arsenal Maitland Niles yupo karibu kufikia makubaliano binafsi na AS Roma kwaajili ya kujiunga na klabu hiyo inayofundishwa na kocha Jose Mourinho katika dirisha dogo la usajili mwezi …
-
Klabu ya Manchester city itatunza kiasi cha paundi milioni 55 kutokana na mauzo ya Ferran Torres ili kujiandaa na usajili wa Erling Haaland kutoka Dortmund msimu ujao. (Manchester Evening News) …
-
Klabu ya Manchester united imefikia makubaliano ya kiasi cha paundi milioni 10 na Marseille kwaajili ya kumchukua kiungo mkabaji Boubacar Kamara.Huo utakuwa usajili wa kwanza kwa kocha mpya wa muda …