Yanga Sc
usajili
-
-
Yanga Sc
-
Karibu Jangwani Karibu Jangwani, Abdulnassir Mohamed,Umesomeka ujumbe ulioandikwa katika mitandao ya kijamii ya klabu ya Yanga sc wakimtambulisha kiungo huyo kutoka Mlandege Fc ya Zanzibar. Yanga sc imekamilisha usajili wa …
-
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha rasmi mchezaji Offen Chikola ambaye amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akiwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu …
-
Klabu ya Simba Sc sasa imehamia kwa Jonathan Sowah ikitaka kumsajili baada ya kupata ofa kadhaa za kumuuza Lionel Ateba anayehitajika nchi za kaskazini mwa bara la Afrika. Awali Sowah …
-
Zaidi ya shilingi milioni 100 zimetumika kumshawishi kiungo Mudathir Yahaya kusalia katika klabu ya Yanga sc kwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili. Mudathir tayari alikua na ofa kutoka klabu …
-
Kichwa cha habari kinachoendelea kuchukua nafasi kubwa ni mustakabali wa mshambuliaji mahiri wa Newcastle United, Alexander Isak aanza mazungumzo na Al-Hilal. Taarifa za hivi pivi zinaonyesha kuwa vigogo wa Ligi …
-
Mtazamo Mpya kwa Marcus Rashford Habari za uhamisho zimezitikisa duru za soka, huku nyota mahiri wa Manchester United, Â Marcus Rashford atimkia Barcelona kwa mkopo. Uhamisho huu, uliokukamilika hivi karibuni, umekuwa …
-
Moussa Balla Conte
-
Pamba Jiji Fc