Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc imeweka wazi kuwaacha wachezaji wawili winga Duncan Nyoni kutoka Malawi na kiungo mkabaji Mtanzania Abdulswamad katika dirisha hili dogo la …
Tag:
usajilibongo
-
-
Winga hatari kutoka Biashara United Denis Nkane amejiunga rasmi na mabingwa wa kihistoria nchini Yanga baada ya kukamilisha usajili wake katika klabu hiyo na kutangazwa rasmi. Nkane anasifika zaidi na …
-
Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Mbao na Yanga Waziri Junior amejiunga rasmi na Dodoma Jiji kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuwatumikia watoza ushuru hao wa makao makuu …