Kikosi cha Simba sc kimeondoka nchini jioni ya tarehe 11/7/2023 kuelekea nchini Uturuki kwa kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambayo klabu hiyo …
uturuki
-
-
Mbwana Samatta amewasili leo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi utakaochezwa Oktoba 11 Jumapili kabla ya …
-
Nahodha wa Tanzania aliyejiunga na klabu ya Uturuki,Fenerbahce kwa mkopo akitokea Aston Villa,Mbwana Samatta ameanza kufanya yake kwa mara ya kwanza ndani ya klabu hiyo mpya kwa kupachika mabao 2-1 …
-
Nahodha wa Tanzania,Mbwana Samatta amefanikiwa kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya uturuki kwa mkataba wa miaka minne akitokea Aston Villa inayoshiriki ligi kuu England. Samatta ameondoka Villa kutokana na nafasi …
-
Beki wa klabu ya Bursa Yildirim Spor, Cevher Tokts ambaye ni raia wa Uturuki amekiri kumuua mtoto wake kwa kuwa alikuwa hampendi na kujisalimisha polisi. Tukio hilo la mauaji …