Klabu ya Simba Sc itautumia uwanja wa New Amaan complex Visiwani Zanzibar katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika siku ya Jumapili …
UWANJA
-
-
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa uwanja wa Michezo unaotarajiwa kujengwa jijini Dodoma utagharimu shilingi Bilioni 352 ambazo ni fedha kutoka Serikali ya …
-
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga sc ni kwamba mdhamini na mfadhili wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM) ameridhia kushiriki kwenye ujenzi wa uwanja wa Yanga unaotarajiwa kujengwa katika …
-
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa Ushirika uliopo jijini Moshi mkoani Kilimanjaro kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na kukosa baadhi ya sifa za kikanuni kama zilivyoainishwa …
-
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja. Pongezi hizo zimetolewa na …